Saturday, August 25, 2012

Ile tabia ya abiria kujisaidi wakati wa safari maarufu kama kuchimba dawa, imekuwa ikisababisha uchafuzi wa mazingira hali ambayo sasa inapigwa vita na Serikali. Kufikia octoba mwaka huu hakuna gari litakalokuwa linasimama porini ili abiria wake wachimbe dawa. Hivyo abilia katika barabara ya Dar, Morogoro, Dodoma, Singida hadi Mwanza, wameiomba serikali kuchukua jukumu la kujenga vyoo barabarani. Wameshauri ni bora vyoo hivyo vikajengwa kila baada ya kilometa 150.

Wakazi wa wilaya mpya ya Gairo mkoani Morogoro wakumbwa na tatizo la maji. Kutokana mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na miundombinu mibovu, wilaya hiyo imekumbwa na tatizo hilo la maji tangu mwezi wa saba. Mpaka sasa wamejikuta kila familia inagawiwa ndoo kumi tu za maji ambazo familia husika itazitumia kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Kumbukumbu katika historia. Tarehe 26 August 1728 wanasayansi wa Kijerumani Johann Heinrich na Lambert walizaliwa.

Kitendo cha serikali kuandaa mchakato wa Sensa kwa kuwategemea wenyekiti wa mitaa kuwatembeza makarani bila kuwalipa chochote, Je zoezi litaendeshwa vizuri?

Kama unataka Dj, Mc mzuri kwa ajili ya sherehe za ndoa, birthday n.k, pia Kutangaza habari zako binafsi. Wasiliana nami kupitia sim no: 0713914416

Zilizosomwa zaidi