Monday, August 13, 2012

Wafanya biashara wadogowadogo mkoani Kigoma waondolewa ushuru katika biashara zao. Hii ni kwa lengo la kukuza kipato cha wafanyabiasharg hao.

Ndoa za mitala mkoani Kagera balaa. Wanaume mkoani Kagera wamekuwa na tabia ya kuwa na nyumba ndogo ambazo hawawezi kuzihudumia familia hizo na hivyo kurudisha maendeleo nyuma. Swala hili limeongeza idadi kubwa ya tegemezi.

Mkazi wa kijiji cha Muhunga wilayani Kasulu aliyefahamika kwa jina la Ndabaha, ameuawa na wananchi wa kijiji hicho kutokana na imani potofu za kishirikina.

Kutokana na mwitikio hasi kwa waislam katika shughuli ya Sensa 2012, Shehe mkuu wa Tanzania Shaaban Simba awahimiza waislam wote nchini kujiandaa kikamilifu kushiriki katika mchakato wowote.

Dk Ulimboka afikishiwa sehemu maalum akisubiriwa kuongea mda wowote. Nyumbani kwake hayupo, ndugu zake wakataa kuongea lolote.

Rais Mursi amtimua Tantawi na mkuu wa majeshi jenerali Sami Annan.

Zilizosomwa zaidi