Thursday, August 9, 2012

Mkenya David Rudisha avunja rekodi kwa kumbia mita 800 katika michuano ya olympic.

Timu ya mpira wa miguu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes imeenda nchini Nigeria kwa mashindano

KENYA Vyama vya siasa nchini Kenya viko katika mkakati wa kuunda umoja wa vyama vya siasa. Lengo la kuundwa kwa umoja huo ni kuandaa chama imara ambacho kitasimamisha mgombea imara katika uchaguzi ujao.

CHADEMA Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeanza mikutano yake ya vuguvugu za mabadiliko nchini. Mikutano hiyo imeanzia huko mkoani Morogoro katika wilaya ya Ifakara.

Mahakama kuu Kisutu kumwachia huru prof Costa Maharu na Grace. Ni katika kesi ya kuisababishia serikari hasara ya euro million 7. Maharu amewaomba wananchi kusoma kitabu cha dini (Biblia) Zaburi ya 17.

Sensa 2012 waliochaguliwa kushiriki katika shughuli hii nchini, wameanza semina ya dodoso lefu kwa kupangilia mpango mzima na utaratibu wa kuhesabu watu.

Zilizosomwa zaidi